Mifumo kandamizi kwenye sekta ya kilimo ikemewe (GF17/TJ17)

LUCIA  Akaro,  mwakilishi  wa  EKAMA  Development  Foundation Tanzania  amesema kuna  haja ya  mifumo kandamizi  kwa  wanawake  kukemewa . Akaro ametoa kauli hiyo wakati akiwasilisha mada ya ardhi,kilimo, uzinduaji,uchimbaji madini na mabadiliko  ya  tabia  nchini  kwa wanawake  na makundi yaliyoko pembezoni  wakati  wa  warsha  zinazoendelea  katika tamasha la jinsia la 14  liloloandaliwa na mtandao…

View More Mifumo kandamizi kwenye sekta ya kilimo ikemewe (GF17/TJ17)