Mobile: +255 754 000 000 +255 (0) 222 222 Email:info@tgnp.org
Mubashara: Tamasha la Jinsia siku ya 3 (LIVE)

[embedyt]https://www.youtube.com/watch?v=gd-X8nk91Qg&feature=push-lsb&attr_tag=G5m7B7JYr-RSw2AJ-6 [/embedyt]

Mabalozi pamoja na mashirika ya kimataifa kuungana ili kuwezesha usawa wa Kijinsia.

Mabalozi, mashirika ya kimataifa yapongeza tamasha la jinsia BALOZI wa Ireland nchini Tanzania, Fionnuala Gilsenan amesema “hakutakuwa na mafanikio bila utambuzi wa haki za makundi yaliyokandamizwa.” Gilsenan ametoa kauli hiyo leo, wakati wa ufunguzi wa maazimisho ya Tamasha la Jinsia linalowakutanisha wanaharakati zaidi ya 1000 kutoka ndani na nje ya nchi. Tamasha hilo la 14 limeandaliwa…

Tamko la TGNP Mtandao kuhusu ripoti za uchunguzi wa mchanga wa madini (Makinikia)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MIFUMO YA KISHERIA IBORESHWE KUEPUSHA UPORAJI WA RASILIMALI ZA TAIFA   TGNP Mtandao tumekuwa tukifuatilia kwa ukaribu hatua kwa hatua namna ambavyo Serikali inashughulikia suala la kulinda rasilimali za umma ili ziwanufaishe watanzania wote. Tumefuatilia ripoti za Tume mbili za Rais ambazo zilikuwa zikichunguza suala la usafirishaji nje mchanga wa…

KIJIWE CHA KAHAWA 2017.

As far as budget is concerned, TGNP keeps her culture of doing an intensive analysis of the national, sector and district budgets to ensure the gender perspective has been attained. On 8th June 2017, TGNP brought various development partners from CSO’S, governments and community representatives for a COFFEE retreat at NEW AFRICAN HOTEL (KIJIWE CHA…

26 Mei 2017 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HATUA ALIYOCHUKUA MH. RAIS JOHN POMBE MAGUFULI JUU YA MAKONTENA YA MCHANGA WA MADINI (MAKINIKIA) Sisi Wanamtandao wa Wanawake na Katiba/Uchaguzi na Uongozi tunatoa pongezi kwa serikali ya awamu ya tano kwa jitihada inayozionesha za kupambana na upotevu wa rasilimali za nchi, pia kwa kuonesha ujasiri wa…

Data base to shed light on women qualifications

FORGING of academic credentials, according to elites, can be described as a lack of confidence and selfishness on the part of the perpetrator. Selfishness creeps in when the forger fails to fulfill their job description due to a low level of education. On the other hand, academic certificate faking is a source of employment when…

Why water budget should be gender sensitive.

Reforms in the water sector are crucial in empowering women. As the Water budget is tabled in the next coming days, it is important to take note of how these proposals affect women, and what can be done to seal the loopholes in the existing policies. In Summary There has been a positive response from…

Water Week Success Story

  KNOWLEDGE IS OUR COMMUNITY’S ASSET.   TGNP Mtandao has been advocating for provision of quality social services including water since 1997, mainly tracking availability in schools, health facilities, safety and security of women and girls due to the distance reaching water sources.  TGNP timepieces the government commitment of National Water policy of 2002.  Which…

© 2018 TGNP Mtandao. All Rights Reserved.